Kuna budah flani mimi hudunga na yeye waks........Engineer. Alinishow ati in 1980's there was a motion kwa bunge kuhusu kuleta 'Bullet train' Kenya yaaani electric train. Wabunge kama kawa kuogopa technology wakalenga hiyo storo bt plans were underway for the MP's instead of Railways personnel to undergo training ........by that time Kenya na MO1 walikuwa kitu moja.
The MPs waka procrastinate huku wakilete vako nyingine ya kupunguza customs za ku-import mathree.....smth!
Sasa hizi mathree na the operators are frustrating us....hiking fares everytime Sir Godi akispite baraka kwetu.
My point exactly : Hawa wazee wametuletea shida enough.....imagine sasa tunalipia makosa yao ya kuogopa technology.... 55yrs being the official retirement age for public office holders so should it be for those holding the so called the 'office on the hills' ..... Mambo ya watu walio pitwa na wakati kuwa viongozi wetu.........Think wisely and use ua 'sword' a.k.a. Voting card. Mabudah waende waka-jistroke makwao. They are running this COUNTRY as if in family yao........yeah we need experience bt hiyo experience iwe ya success na Ku-embrace technology wala sio ya kuzoea kufail....
We need a MANAGER not a parrot (politician)....
No comments:
Post a Comment